Ephesians 4:25

Kanuni Za Maisha Mapya

25 aKwa hiyo kila mmoja wenu avue uongo na kuambiana kweli mtu na jirani yake, kwa maana sisi sote tu viungo vya mwili mmoja.
Copyright information for SwhNEN